iqna

IQNA

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa Tehran ameungumzia utambulisho wa amani wa Ibada ya Hija na kusema nukta hii inapaswa kutumiwa kukabiliana na propaganda za chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia zinazoenezwa na baadhi ya vyombo habari vya Magharibi.
Habari ID: 3475484    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/10